Habari za Punde

*VITUO VYA MAFUTA VYAZIDI KUPANDISHA BEI KILA KUKICHA

Vituo vya mafuta vya Jijini Dar es Salaam, vimekuwa vikipandisha bei za mafuta kiholela kila kukicha, ambapo bei hizi unazoziona katika kituo hiki unaweza kushangaa kesho asubuhi ukakuta imeongezwa Sh. 30 ama zaidi Je wadau namna hii tutagika kweli?? na pia nahisi foleni za magari jijini zinaweza kupungua kiaina kwani wenye magari watakaoshindwa kumudu mbio hizi watafikia hatua ya kuyapaki magari yao uwani. Wahusika mpo wapi au ndiyo mmeshindwa kuwapa muongozo na kuwasimamia wafanyabishara za mafuta kuwa na bei moja vituo vyote?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.