Mwongozaji na mcheza Filamu mahiri za Kibongo nchini, Mussa Banzi (kushoto) akiwa na sanii Baby Karma, wakati wakirekodi filamu mpya ya My Umbrella Jijini Dar es Salaam leo, inayotarajia kukamilika na kutoka mwakani, ambapo katika filamu hiyo wanatarajia kushiriki wasanii maarufu katika fani hiyo kama Hellen Ngaraba na wengine wengi.
Wakiendelea na Take 2....
Wakiendelea na Take 2....
No comments:
Post a Comment