Habari za Punde

*CHEKA KIDOGO NA VIJIMAMBO

Wajameni huyu jamaa na haka kamtumbwi si atakananiliu jamani, je wewe mdau unaweza kusafiri kwenye mtumbwi mmoja na huyu jamaa? eti mcheki hapa wala hana hata wasiwasi ndiyo kwanza anajisevia msosi.......
Haya na hawa maharusi mpaka wakasukuma gari lao lililokwama hawana wasimamizi wala wapambe wao? au ndiyo staili yao walioichagua ya kusherehesha siku yao????


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.