Habari za Punde

*MTOTOA KIGOGO KORTIN KWA KUGUSHI NA KUJIPATIA SH.M 400

Mtuhumiwa wa kula njama, udanganyifu, kugushi na kujipatia zaidi ya Sh Milioni 400, 4 Tonny Ngombalemwiru, akiwa chini ya ulinzi wakati akiingia kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam jana kusomewa kesi inayomkabili.

Tonny akitoka nduki kuwakimbia mapaparazi wakati akitoka kwenye chumba cha Mahakama leochana, Hata hivyo Tony alipanda Karandinga kuelekea lupango baada ya kusomewa shitaka hilo na kukana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.