Habari za Punde

*CHUOHA BIASHARA ARUSHA CHAZINDUA PROGRAM YA SHAHADA ZA UZAMILI (MBA)

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Uhasibu Arusha, Patrick Mwangunga, akisoma ripoti ya Chuo hicho wakati wa hafla ya uzinduzi wa Shahada za Uzamili (MBA), iliyofanyika Jijini Dar es Salam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Biashara ARusha, wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi uliofanyika kwenye ukumbi wa DICC Jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.