Habari za Punde

*MASHABIKI WA SOKA WAVAMIA OFISI ZA TFF KUNUNUA TIKETI ZA YANGA NA SIMBA

Baadhi ya mashabiki wa Soka wakiwa nje ya Ofisi za ShirikishoFF, wakisubiri kununua tiketi za kushuhudia mtanange wa Watani wa Jadi Yanga na Simba katika mechi ya Ngao ya Hisani unaotarajia kuchezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Wengine wakipozi kusubiri kuanza kwa utaratibu wa kuuza tiketi nje ya ofisi hizo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.