Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Singida Mjini, Bulala (kulia) akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini mgombea, MO Dewj, wakati alipofika kwenye Ofisi za CCM mjini humo kuchukua fomu hiyo.
Mo Dewj akionyesha fomu hizo baada ya kutoka kwenye Ofisi za CCM leo mchana, huku akizungukwa na kushangiliwa na wanachama wa CCM na wapambe wake.
MO Dewj akipunga mkono kusalimia wananchi wakati akirejea kutoka kuchukua fomu kwenye Ofisi za CCM Mkoani Singida leo mchana.
No comments:
Post a Comment