Habari za Punde

HILI GARI LINAUWEZO WA KUWA BARABARANI KWELI?

Askari wa Usalama barabarani wa Kituo cha Polisi Songea aliyefahamika kwa jina moja la David, akilikagua gari dogo linalotumika maalum kwa kulimia baada ya kulikamata kwenye makutano ya barabara ya Sokoine na Makambako. Mmiliki wa gari hilo amekuwa akilitumia gari hilo kwa shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kubebea watu badala ya shughuli za Kilimo huku likikatiza katika mitaa ya mjini kinyume na sheria za usalama barabarani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.