Habari za Punde

*JK AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa Balozi Augustine Mahiga, (kulia kwa Rais). na John Steed (kulia) Ms Nene Bah na Fexton Matupa baada ya kumaliza mazungumzo wakati walipomtembelea Ikulu Dar es Salaam juzi. Picha na John Lukuwi-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.