Habari za Punde

*JK AZINDUA RASMI KAMPENI ZA CCM JIJINI DAR LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akihutubia wananchi na wanachama wa CCM wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Chama hico uliofanyika kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo mchana.
Mgombea Mwenza wa Rais Jakaya Kikwete,Dr. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.....
Hii ndiyo meza kuu............
Hawa ni sehemu ya Umati uliojitokeza kwenye viwanja hivyo kumsikiliza mheshimiwa rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi huo...




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.