Habari za Punde

*KCB BANK YADHAMINI MASHINDANO YA WAZI YA GOFU

Mchezaji wa Gofu ambaye pia ni mwanachama wa Dar es Salaam Club, Tayana William, akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yaliyodhaminiwa na Benki ya KCB yanayotambulika kama 'KCB Dar es Salaam Open', yaliyoanza jana kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini,ambayo yanamalizika leo jioni kwenye viwanja hivyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.