Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi, Ramadhani Khijjah, (kushoto) akibadilishana mkataba na Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Nchini, Young – Hoon Kim, baada ya kusainiana mkataba huo wafedha kiasi cha fedha shilingi bilioni 173.8 kwa niaba ya Serikali utakaosaidia miradi mitatu hapa nchini, wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo mchana.
TCAA YAIBUKA MSHINDI WA TATU KWENYE MAMLAKA ZA UDHIBITI TUZO ZA NBAA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeibuka mshindi wa tatu kwa
upande wa Mamlaka za Udhibiti katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka
202...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment