Hapa ni Wilaya ya Mbozi katika Boda ya Zambia na Tanzania, yaani upande wa pili nyumba unazoziona mlimani ni Zambia, eti wanaozaliwa maeneo haya ni raia kweli? kwani eneo kama hili jirani yako anaweza kuwa upande wa pili tu hapo unakwenda kupiga nae stori kisha unarudi home na pia je mtu anayekuwa na rafiki yake wa kike ama wa kiume maeneo haya Kidume kikiwa upande wetu na Mdada akawa upande wa pili je mtoto atakayezaliwa raia wa nchi gani? kwani baadaye yasijekuwa yale yaleeeeee...........
MSD YAIHAKIKISHIA KAMATI YA BUNGE UBORA WA HUDUMA KATIKA UTEKELEZAJI WA
BIMA YA AFYA KWA WOTE
-
Bohari ya Dawa (MSD) imeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na
Masuala ya UKIMWI kuwa itaendelea kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya
zenye u...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment