Habari za Punde

*DK BILAL ATUA DAR, KESHO KUANZA KAMPENI JIJINI

Mke wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Bi Zakia Bilal (watano waliosimama kushoto), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliokuwa katika msafara wa Dk Bilal ulioingia leo jijini Dar ukitokea Mpanda, ambapo kepilisho Dk. Bilal anatarajia kuanza kampeni katika Wilaya ya Kinondoni.
Mama Bilal, akipiga picha wa kumbukumbu na Wajumbe wa NEC, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Jijini Dar es Salaam leo mchana.
Dk. Bilal, akisalimiana na Mpiga picha wa Idara ya Habari MAELEZO, Mwanakombo Jumaa 'Kamanda' baada ya kuwasili jijini leo na kuonana na baadhi ya waandishi wa habari waliokuwa wakiambatana na msafara wa Mama Salma Kikwete kuelekea Mkoani Kagera leo.
Dk Bilal , akiagana na Maofisa wa CCM wa Mpanda wakati alipokuwa akiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda leo asubuhi.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.