Ofisa wa CCM kutoka Makao Makuu Dar es Salaam, aliyeambatana na msafara wa Mgombea Mwenza Bi Khadija, akizungumza jukwaani ikiwa ni sehemu ya kusafisha njia kabla ya mgombea mwenza kupanda jukwaani kuwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtimbwa leo.
MGAWANYO WA HISA NMB WAFUNGUA MLANGO KWA WAWEKEZAJI WAPYA
-
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank PLC, David Nchimbi,
(katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki
hiyo, Ruth Zai...
31 minutes ago


No comments:
Post a Comment