Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevive Emmanuel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya Miss Tanzania na Ofisa udhamini kutoka Kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, kutoka kulia ni Aidan Rico, Bosco Majaliwa,Albert Makoye na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, wakati alipokuwa akiagwa kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere leo.
MSD YAIHAKIKISHIA KAMATI YA BUNGE UBORA WA HUDUMA KATIKA UTEKELEZAJI WA
BIMA YA AFYA KWA WOTE
-
Bohari ya Dawa (MSD) imeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na
Masuala ya UKIMWI kuwa itaendelea kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya
zenye u...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment