Habari za Punde

DK. BILAL ATUA JIMBO LA MTERA NA KIBAKWE LEO, KESHO KUANZIA BHAI

Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal na mkewe Zakia Bilal, wakipunga mikono kuwaaga wananchi wa Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma baada ya kumaliza mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Stendi ya Mabasi na kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo hilo George Simba Chawene.
'KIBAJAJI KILICHOANGUSHA KATAPILA JIMBO LA MTERA'
Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal akiongozana na mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde (kushoto kwake) wakati wakiingia kwenye uwanja wa Kijiji cha Mloa Barabarani kufanya mkutano wa Kampeni leo


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.