Habari za Punde

*UJENZI WA BARABARA YA SUMBAWANGA-RUKWA WAANZA KWA KASI

Hii ni barabara inayotoka Sumbawanga kuelekea Mpanda ambayo tayari mkandarasi amekwishaanza kazi hiyo ambayo inataraji kukamlika baada ya miaka mitatu, "BARABARA YA ASANTE PINDA" Imeelezwa kuwa barabara hii pia ni moja kati ya barabara zilizo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.