Habari za Punde

*AJALI KAZINI, MWELEKA PUH!

Mwanamama mfanyabiashara wa matunda wa mkoani Mbeya, akiangua kilio baada ya kuanguka na tunda lake aina ya Tikiti Maji, wakati akitimua mbio kumuwahishia mteja wake upande wa pili wa barabara kushindwa kuinuka mahala hapo kwa aibu, jambo ambalo lilimchukua muda kuinuka huku kila mmoja aliyekuwapo mahala hapo akibaki kumshangaa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.