Habari za Punde

DK. AWACHANGANYA WAPINZANI RORYA

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili ya Rilandi ya kabila la Wasimbiti, wakati alipowasili kwenye kijiji cha Irienyi eneo la Nyamanguku Kata ya Komuge kufanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la Rorya, Lameck Air oleo.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Rorya, Lameck Airo, wakati alipofanya mkutano wa kampeni katika jimbo hilo leo.
Wananchi wa kijiji cha Irienyi Kata ya Komugi Wilaya ya Rorya, wakimsikiliza mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipofika katika kijiji hicho kufanya mkutano wa kampeni leo.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.