Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Nimlod Mkono, akimuonyesha Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, maeneo yanayatarajia kujengwa Chuo Kikuu katika Wilaya mpya ya Butiama wakati alipotembelea maeneo hayo leo.
"Na huku mzee kote kutakuwa ni town kama unavyona tayari tumekwishaanza kuchonga barabara mheshimiwa"...
No comments:
Post a Comment