Habari za Punde

*ZITTO KABWE ATEMBEZA KIBAKULI KUCHANGISHA FEDHA ZA KUMSAIDIA MBUNGE WA SUMBAWANGA

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, Zitto Kabwe, akiwahutubia wananchi wa Sumbawanga mjini, wakati alipofanya mkutano wa kampeni katika jimbo hilo jana na kumnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia tiketi ya Chadema, Mwalimu Norbart Yamsebo.
Naibu katibu kuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema)Taifa, Zitto Kabwe (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa Mwalimu Norbart Yamsebo wakati wa kampeni za Chadema mjini Sumbawanga.
Zito Kabwe akishirikiana na wapambe wake kuhesabu fedha zilizopatikana wakatialipoanzisha zoezi la kumchangia mbunge huyo ili ashinde katika uchaguzi ujao katika nafasi ya ubunge.
Zitto, akionyesha fedha zilizopatikana wakati wa zoezi hilo..baada ya kukamilika kwa mahesabu.
Fedha zenyewe zilikuwa katika mtindo huu, Wekundu walikuwa wa kusebabu zaidi kuliko je5 je5....
Hili ndilo bango la uhamasishaji wa mchango huo...
Kitita kilichopatikana baada ya kuhesabiwa...
Hata mapene yalikuwamo pia......
Picha ya kupozi baada ya kazi ngumu.....









No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.