Habari za Punde

*KIWANDA CHA POMBE ISIYO NA TBS, HII NDO MKOMBOTI?

Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Izia Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga akikoroga pombea ya kienyeji aina ya Komoni inayotengenezwa kwa kutumia Mahindi, akiiandaa kwa ajili ya wateja wake na hivi ndivyo inavyoandaliwa, Pombe hiyo inapokamilika huuzwa na kutoa kiasi cha shilingi 24,000 kwa pipa zima kama hili lakini utengenezaji wa pombe kama huu ni hatari kwa usalama wa afya na upngufu wa chakula.
Mdau hebu cheki hapa juu ukichunguza zaidi unaweza usiitumie, lakini kumbuka "ukumchunguza Bata Huwezi kumla".....


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.