Habari za Punde

*DK. BILAL AENDELEA KUVUNA KADI ZA VYAMA PINZANI

Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akionyesha Baadhi ya Bendera na kadi za wanachama wa Vyama vya Upinzani zikiwemo za Chadema, CUF na TLP alizokabidhiwa na wanachama wa Vyama hivyo alipofanya mkutano wa kampeni katika Jimbo la Nakilindi leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.