Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimpongeza mkewe Bi Asha Bilal, baada ya kutunukiwa na muvishwa vazi la asili la kabila la Kimasai, wakati walipofika kwenye Uwanja wa Kijiji cha Kijungu Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara kufanya mkutano wa kampeni.
Dk Bilali na mkewe Bi Asha Bilal, wakitoka kwenye Uwanja wa mkutano baada ya kumaliza mkutano wa kampeni Kiteto.
No comments:
Post a Comment