Habari za Punde

*UJUMBE HUU KATIKA VYOO NI WAKATI MUAFAKA

Vyoo vipya vilivyojengwa katika Shule ya Msingi Sunya iliyopo Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara, vikiwa na ujumbe unaosomeka ‘Tumeamua Maedeleo Mpaka Chooni’, ujumbe ambao unaendana na wakati huu wa kampeni sa uchaguzi kote nchini.
Mmoja wa wanafunzi wa Shule hiyo akitoka kupata huduma ndani ya choo hicho cha kisasa kwa upande wa Shule na hasa shule za msingi.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.