Mgombea Ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby akiwa jukwaani akimwaga sera wakati wa mkutano wa kampeni alipofika Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Bilal, kufanya mkutano wa kampeni jana.
Huyu Mdada sijui ilikuwa ni furaha ama ndiyo mkereketwa wa chama aliyepitiliza sikuweza kujua kilichomsibu hadi akawa akilia wakati alipokuwa akiwasili Dk. Bilal kwenye uwanja huu wa mkutano jana.
Hapa akilia ...
No comments:
Post a Comment