Habari za Punde

DK. BILAL AWA KIVUTIO KWA WANANCHI WA MLALI-DOM

Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana.

*POZI LA PICHA NA MHESHIMIWA
Mwanakijiji wa Mlali, ambaye hakuweza kuvumilia na kuomba kupiga picha ya pozi na Mgombea Mwenza wa CCM Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiingia mpakani mwa mkoa wa Dodoma jana akitokea Manyara, ambapo mkazi huyo alijipekecha katikati ya watu na kuzuiliwa kutomfikia Dk Bilal hadi Dk. alipoamuaru kumuacha ili kupiga picha ya kumbukumbu huku akiweka pozi na kutoa amri kwa mpiga picha “Picha yangu hii na Mheshimiwa uniletee”.
Umati wa wananchi wa Mlali wakiwa kati mkutano wa kampeni wa Dk. Bilal.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.