
Wanenguaji wa bendi ya Levent Music Band kutoka (kushoto) Asia Shebe 'Sumu ya Mapenzi', Susana Manchester, Salum Ally 'Sisimizi' na Queen Eliza 'Mtarajiwa', wakiwa katika mazoezi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maonyesho yao ambapo jana waliwasha moto katika Ukumbi wa DDC Morogoro na leo watawasha moto katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza Dk. Bilal, utakaofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Morogoro.

Rapa na mwimbaji wa bendi hiyo, Seleman Ramadhan 'Sauti ya Malaika' akighani moja ya rap zake wakati wa mazoezi yao.

Mazoezi yanaendelea....

Wanenguaji wa bendi hiyo wakipozi kwa picha...
No comments:
Post a Comment