Habari za Punde

*SIKU YA POSTA DUNIANI


Mawasiliano ni muhimu kwa njia zote hii ni moja ya sehemu ya Mawasiliano kwa njia ya Enternet iliyopo mjini Iringa.
Hizi zote ni huduma za Shirika la Posta..
Huduma za Posta zaendelea..ikiwa ni siku ya maadhimisho ya siku ya Posta Duniani.
Meneja wa Posta Mkoa wa Iringa, Chifungo J. D, akiwajibika ofisini kwake.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.