Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Mkoa wa Dodoma leo wakati alipofanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo hilo la Bahi, Omar Baduwel.
Huu ni Mnara uliopo katika Kijiji Endabash Wilaya ya karatu, ulio na ujumbe wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alioutoa mwaka 1973 kuhusu kuanzishwa na kuhamia Vijini.

Wananchi wa kiji hicho wakimsikiliza Mgombea Mwenza Dk Bilal.

Wananchi wakipanda miti kusikiliza sera za Dk. Bilal jana.

Wananchi wa Kijiji hicho wakisikiliza sera za Ilani ya CCM.

Msafara wa Dk Bilal ukiondoka katika Kijiji kimoja kuelekea kingine..
No comments:
Post a Comment