Habari za Punde

*NYUMBA YA UDONGO JUU VIGAE WEE ACHA TU

Nyumba kama kama hii wala si ya kushangaza katika maeneo haya ya Kijiji cha Trawi, ambapo nyumba nyingi zilizopo katika kijiji hiki ni za mtindo huu na hii imetokana na vigae hivi kutengenezwa na mzawa wa maeneo haya na kuwauzia wananchi hao kwa bei ya Sh 100 kwa kila kigae.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.