Mgombea mwenza wa urais wa CCM, DK. Mohamed Gharib Bilal, akiwa na vazi la asili la Kimasai, baada ya kutunukiwa na kuvishwa vazi hilo kwa heshima aliyopewa na Wamasai kwa kufika katika Wilaya yao ya SImanjiro na kufanya mkutano wa kampeni leo
Msanii wa kikundi cha Burudani cha New Vission cha Mirerani, Sifuni Justine (miaka 18), 'mdogo kuliko wote' akicheza sambamba na wenzake na kupeperusha kipeperushi cha Jakaya Kikwete, wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipowasili kwenye uwanja wa CCM katika Jimbo la Simanjiro kufanya mkutano wa kampeni leo.
Msanii huyo mdogo kwa umbo mkubwa kwa umri, (miaka 18) akiwa bize kushambilia jukwaa wakati kikundi chake kikitoa burudani.
No comments:
Post a Comment