Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiongoza kuomba dua baada ya kuzungumza na wazee wawakilishi wa familia iliyopatwa masiba katika Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo baada ya kushiriki katika maziko ya mwanakijiji huyo leo. 
Wakitoka makaburini baada ya maziko.

Msafara wa Dk. Bilala, ukiwa ndani ya Kivuko cha Mv Pangani kuelekea Pangani mjini jana.
Wananchi wa Manispaa ya Tanga mjini, wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi hao katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Tangamano jana okt 5
Dk. Bilal na mkewe. wakishuka ndani ya kivuko hicho.

Dk. Bilal, akimvisha kofia mmoja kati ya wanafunzi waliokuwapo eneo hilo la mkutano katika kijiji cha Msisi wakati aliposimama kusalimiana na wananchi wa kijiji hicho jana jioni.

Dk. Bilal akigawa kofia kwa wananchi hao baada ya kuwasikia wakisema kuwa wana0ma kofia ama Tsheti za CCM.
No comments:
Post a Comment