Kwa huduma bora ya maladhi, Chakula, Usafiri wa Helkopta na Swimming Pooll, ufikapo Tanga usisite kuwatembelea Tanga Beach Resort wanaowajali wateja wao na kutoa huduma bora za hali ya juu, hapa ni kati ya majengo ya ndani yanavyoonekana.
Hii ni sehemu ya kupumzikia na nyuma ni sehemu unayoweza kupata huduma za vinywaji vya aina zote.

No comments:
Post a Comment