Habari za Punde

*WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA MRADI WA MATREKTA YA KILIMO KWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati wa hafla ya uzindua rasmi mradi wa Matrekta ya Kilimo Kwanza unaosimamiwa na SUMA JKT, uliofanyika leo kwenye eneo la kambi ya jeshi ya Lugalo ya jijini Dar es salaam. Kulia ni, Balozi wa India Nchini,V. Bhagirathia.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.