"Kaka haya magari unayoyaona huku nyuma mie mwenzio leo ndo mwisho wa kuyapanda, sasa haya yako baada ya leo, tutaonana wakati wa kuapishwa"
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia) akisalaimiana na Mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, walipokutana uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere wa Jijini Dar es Salaam leo mchana wakati Dk. Shein, akiondoka kuelekea Visiwani Zanzibar na Dk. Bilal, akiwasili jijini kutoka Visiwani humo kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni leo.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia) akizungumza na Mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, walipokutana uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere wa Jijini Dar es Salaam leo mchana wakati Dk. Shein, akiondoka kuelekea Visiwani Zanzibar na Dk. Bilal, akiwasili jijini kutoka Visiwani humo kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni leo. Kushoto ni mke wa Dk. Shein, Mwanamwema Shein, akizungumza na mke wa Dk. Bilal, Zakia Bilal.
No comments:
Post a Comment