Wanachama wa vyama pinzani waliowawakilisha wenzao 100 waliojiengua katika vyama vyao na kujiunga na CCM, wakinyoosha mikono kula kiapo baada ya kurejesha kadi zao na kukabidhiwa kadi za CCM wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Bunju A Wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam leo. STAILI ZA GREEN GUARD WEE ACHA TU!


No comments:
Post a Comment