Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, DK. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Magharib, Mkoa wa Mjini Magharibi, wakati alipofanya mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Dole Zanzibar 
Wakea wa Dk. Bilal, Zakia Bilal na Asha Bilal, kwa pamoja wakimtunza mwimbaji wa taarab, wakati alipokuwa akitoa burudani katika mkutano huo.

Ridhiwani Kikwete, naye alikuwapo katika kuhamasisha viajana wa visiwani humo wanafanya vizuri katika suala zima la kuwachagua viongozi wa CCM, hapa akiwa jukwaani katika mkutano huo.

wake wa Dk. Bilal, wakijumuika na wananchi katikati ya uwanja kucheza miondoko ya taarab, wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment