Habari za Punde

*JAKAYA APIGA KURA MSOGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura katika kituo namba 00006389 Msoga Shule ya Msingi 1 kilichopo katika kata ya Msoga, wilayani Bagamoyo leo.

PICHA NA JOHN LUKUWI



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.