Habari za Punde

DK. BILAL APIGA KURA KIEMBE SAMAKI

Mgombe mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitumbukiza karatasi ya kupigia kura wakati alipofika katika kituo cha uchaguzi cha Kiembe Samaki mjini Zanzibar leo.
Mohamed Said Abdul, mkazi wa Kiembe Samaki Zanzibar, akielekezwa kutumbukiza karatasi yake ya kura katika boksi katika Kituo cha Uchaguzi cha Kiembe Samaki leo.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutoka katika chumba cha kupigia kura katika kituo cha Kiembe Samaki mjini Zanzibar leo.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.