Marehemu Syllersaid Mziray, enzi za uhai wake.
MAKAMU Mkuu WA Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Tolly S.A. Mbwette, Na Menejimenti yote ya Chuo,
Mziray alifariki dunia alfajiri ya kuamkia leo Jumamosi katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa amelazwa kwa karibu wiki mbili kutokana na Malaria na baadaye matatizo ya figo.
Mungu ailaze roho ya marehemu Syllersaid Mziray Pema Peponi Amen!
IMETOLEWA NA:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA MASOKO,
CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA,
S.L.P. 23409,
DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment