JK akielezea mpango wa serikali yake wa kujenga fly-overs jijini Dar ili kupunguza msongamano wa magari jijini.
Bw. Juma Othman Juma akiwa na Mama Fatma Maghimbi baada ya kurejesha kadi za CUF na kupewa za CCM leo.
Mwenyekiti wa kampeni wa CCM Mh. Abdulrahman Kinana akimpongeza Bw. Juma Othman Juma kwa kujiunga na CCM leo.

No comments:
Post a Comment