Habari za Punde

*VIMBWANGA VYA KAMPENI

Dereva wa wa katika moja ya gari lililopo katika msafara wa Dk. Bilal, akijaribu kujisevia fasta fasta baada ya kuchelewa kunywa chai na wenzi na kukuta tayari magari yameshakaa mkao wa kutimka eneo hilo kuanza safari jana jambo lillilomfanya kumuagiza mhudumu na kuanza kujisevia akiwa wima kama unavyomuaona akikusanya vitafunwa vyote kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.