Habari za Punde

*KILIMANJARO WAPAGAWA NA SOKO LA NDIZI

Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro Wilya ya Rombo wakisubiri magari na wateja wa kununua zao lao la ndizi, ambapo zao hilo limeonekana kushamiri na kustawi mkoani humo kuliko zao jingine, lakini tatizo kubwa limeonekana kuwa ni soko la haraka la bidhaa hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.