Habari za Punde

*DK BILAL AVUNJA NGOME ZA TLP NA CHADEMA MWIKA NA ROMBO

Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Eliuteri Shaban, mwandishi muwendeshaji wa Ofisi ya CCM Rombo, ambaye ni mlemavu baada ya kumaliza mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mengwe wilayani humo jana okt 18.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.