Habari za Punde

*ZITTO KABWE KUFUTA YA MAMA SALMA KIKWETE SUMBAWANGA KESHO

Naibu Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Zitto Kabwe leo jumanne anataraji kutua katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa kwa ajili ya kufanya mkutano wake wa kampeni pamoja na kumnadi mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Sumbawanga mjini .
Zitto anafika Sumbawanga ikiwa ni siku moja tu baada ya mke wa mgombea urais wa CCM Dk.Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete (Pichani chini) kuingia mjini humo na kukutana wa wanawake wa mji huo na kufanya nao mazungumzo katika Kikao cha ndani, ambapo pia siku mbili zilizopita mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha wananchi (CUF) Juma Hajj Duni, alifanya mkutano wake wa kampeni na kukemea siasa za udini.
Mama Salma akifurahi na Kimama


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.