Mhe Anne Makinda (Mb), Spika wa Bunge, akimkaribisha Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Liu Xinsheng (kulia) pamoja na mshauri wa mambo ya siasa wa Ubalozi huo Bw. Fuji Jun (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake leo. Ubalozi wa China umekuwa wa kwanza kumtembelea Mhe. Spika tangu achaguliwe kushika wadhifa huo. Picha na Prosper Minja wa BungeBalozi wa China nchini Tanzania Bw. Liu Xinsheng (kulia) akimkabidhi zawadi Spika wa Bunge Anne Makinda (Mb), wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana ambapo pia alimpongeza kwa kuchaguliwa kushika nafasi hiyo ya Spika wa Bunge.
KAMPUNI YA RADDY ENERGY YA TANZANIA KUNUNUA MITAMBO YA UZALISHAJI UMEME
KUTOKA KAMPUNI YA SIEMENS YA USWIDI
-
*Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka
kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy
Energ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment