Habari za Punde

*WAZIRI MKUU AZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO KIKUU

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisalimiana na Salome Maro ambaye ni Mwanachuo aliyefanya vizuri na kupata daraja la kwanza akiwa na GPS 4.5 katika kozi ya Computer Science kwenye Chuo Kikuu cha Dar es salaam, wakati alipofika kuzindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Chuo hicho cha Dar es Salaam iliyofanyika katika ukumbi wa Nkrumah leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri MkuuMizengo Pinda kiongozwa na Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Fulgence Kazaura (kushoto), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Jaji Joseph Sinde Warioba na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala kuelekea kwenye ukumbi wa Nkurumah ambapo alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya CHuo Kikuu cha Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.