Habari za Punde

*BONDIA WA IRINGA CHUPACK CHIPINDU AMTWANGA MKENYA

Bondia kutoka Makambako wilaya ya Njombe mkoani Iringa mwakilishi wa Tanzania, Chupack Chipindu, akionyesha makanda wake baada ya kumtwanga bondia kutoka Kenya, Josephat Odihambo ,Chupack ameshinda katika pambano hilo lisilo la ubingwa lillilofanyika jana katika uwanja wa Samora katika wakati wa Tamasha la Mtikisiko 2010 na Redio Ebony.
Refa wa mchezo huo akitangaza mshindi.
Chupack (kulia) akipambana na Josephat.
Bondia wa kenya Josephat, akiwa chini hoi baada ya kipigo kizito.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.